Quality ya video hii haina haja ya kwenda South
Raqey Mohamed aliyedirect video yaTazneem
Kwenye page ya Facebook ya mpiga picha maarufu sana nchini Tanzania Raqey Mohamed ameweka video ya msanii mpya mwenye asili ya kihindi aitwaye Tazneem.
Tuliamua kuifuata link ya video hii baada ya kuona kuwa director ni yeye. Tulitaka kujua upande wa video za muziki yukoje. Ama kweli tumestaabu na uwezo mkubwa alionao huyu jamaa. He is good.
Kwa video za aina hii hakuna haja ya wasanii kwenda nje kufanya video zenye hadhi ya kimataifa ili zipigwe kwenye station kubwa kama Channle O ama MTV Base. Congrats Raqey. Tegemea foleni ya wasanii watakaotaka video zako.
ARTIST: TAZNEEM
SONG: KWASA KWASA
PRODUCED BY TUDD THOMAS
DIRECTED BY RAQEY MOHAMED
VIDEOGRAPHY: I-VIEW STUDIOS
WARDROBE: ALLY REHMTULLAH
TAZNEEM - KWASA KWASA
Quality ya video hii haina haja ya kwenda South

No comments