Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » GODZILLA : MASHABIKI WALITAKA NIIMBE


Staa wa hip hop Bongo, Godzilla amefunguka kuwa hatua ya kutoa wimbo ukiwa kwenye staili ya kuimba imekuja kufuatia maombi kibao aliyoyapata kutoka kwa fans wake.

Akizungumza na mau2ndu dj muda mfupi uliopita Godzilla anayesumbia kitaa na ngoma kali inayobeba jina la ‘La Kuchumpa’ amesema kuwa ameshangazwa na hataua ya wadau wa muziki wa kizazi kipya kuhoji juu ya uamuzi wake wa kutumia staili ya kuimba kwenye wimbo wake mpya uliopewa jina la ‘nataka’.

“Unajua mimi ni mwanamuziki na katika hilo ni lazima ujuwe kuwa nina mashabiki ambao kwa lolote wako nyuma yangu , hivyo basi walinifuata na kuniambia kuwa wanataka nijaribu kutoa wimbo kwenye staili ya kuimba soo kwakuwa ninatambua umuhimu wao nikaamua kutoa nyimbo mbili moja ikiwa kwenye mtindo huo na nyingine ikiwa kwenye hip hop kama…

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply