Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled »


MASTAA BONGO FLEVA WANUSURIKA KIFO


Nyota wanaofanya kweli kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Bongo, Joseph Rushahu’ Bwana Misosi’ Asleim Ngaiza ‘Soggy Doggy’ na D-nob wamenusurika kifo na kulazimika kusitisha ziara yao ya kimuziki kwenye moja ya visiwa ndani ya ziwa Victoria baada ya Boti waliyokuwa wakiitumia kusafiria kupata hitilafu.

Akizungumza na Teeentz.com via4n kutoka wilayani Kahama, Bwana Misosi amefunguka kuwa wakiwa wilayani Muleba , walipanda boti maalumu kuelekea katika moja ya visiwa vilivyopo ndani ya ziwa Victoria lakini muda mfupi baada ya safari yao kuanza boti hiyo ilipata hitilafu. …

Nyota wanaofanya kweli kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Bongo, Joseph Rushahu’ Bwana Misosi’ Asleim Ngaiza ‘Soggy Doggy’ na D-nob wamenusurika kifo na kulazimika kusitisha ziara yao ya kimuziki kwenye moja ya visiwa ndani ya ziwa Victoria baada ya Boti waliyokuwa wakiitumia kusafiria kupata hitilafu.
Akizungumza na mau2ndu kutoka wilayani Kahama, Bwana Misosi amefunguka kuwa wakiwa wilayani Muleba , walipanda boti maalumu kuelekea katika moja ya visiwa vilivyopo ndani ya ziwa Victoria lakini muda mfupi baada ya safari yao kuanza boti hiyo ilipata hitilafu.
soggy Dog kushoto

“Ilikuwa ni wakati mgumu kwetu, boti ilipata hitilafu, tunashukuru Mungu jamaa wengine waliokuwa kwenye safari na boti zingine walifika na kutuokoa halafu ile tuliyokuwa tunatumia sisi ikavutwa na kurejeshwa mahali tulipoanzia safari” alisema Bwana Misosi.
Akiendelea zaidi Bwana Misosi aliarifu kuwa kutokana na ishu hiyo waliamua kusitisha ziara yao katika visiwa hivbyo na kurudi Muleba mjini kabala ya kukwea ndiga kuelekea wilayani Kahama kwa shoo nyingine.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply