Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » STAA BONGO MOVE APIGWA STOP KUIGIZA



Nyota  kutoka tasnia ya  filamu Bongo Skyner Ally huenda asionekane tena kwenye ulimwengu wa move kufuatia kupigwa  stop kushiriki katika  kuigiza.
Stori  'under carpet' ambazo mau2ndu imezinyaka kutoka kwa mmoja wa wapambe wa mwigizaji huyo aliyeng'arisha nyota yake kupitia filamu ya  'SECOND WIFE' iliyopikwa na mkali Ray Kigosi, zinasomeka kuwa  Skyner amepigwa stop na  wazazi wa  upande pili  (wakwe) ili aweze kulea vizuri mtoto wake badala ya kutumia muda mwingi akiwa kambini na waigizaji wengine kwa ajiri ya kurekodi 'muvi'.
"amezuiwa, na sijui kama ataruhusiwa kipindi cha  karibuni  na  huenda  ikawa moja kwa moja  kwani ameambiwa atulie alee familia na mtoto wake, alisema mpambo huyo.…

"kuona hivyo,mau2ndu ilimvutia waya  msanii  huyo na  majibu yake yakawa  hivi: unaweza kuona nimezuiwa lakini kwangu mimi sijachukulia hivyo kilichopo ni kuwa  nimetulia kwanza nilee mtoto wangu na familia pia, kwa sasa nipo Tanga nimekuja kusalimia ndugu na baada ya muda nitarejea Dar halafu ndiyo nitatoa jibu kamili kama  nitaendelea ama la" alisema Skyner.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply