Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » WANAOONDOKA TIP TOP NINI KINAWAKUTA?

NI jambo la kawaida mtu kusaka ulekeo mwingine wa maisha endapo atangundua kuwa sehemu aliyokuwa awali haimfikishi kwenye ndoto za kufanikiwa kimaisha zilizojaa kwenye halimashauri ya kichwa chake. Kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya hasa wanaonza safari ya kusaka mafanikio kimuziki wakiwa ndani ya makundi imekuwa ni kawaida kujiweka pembeni na kuamua kutoka ‘solo’ ili kutafuta mafanikio zaidi kila wanapobaini kuwa ndani ya kundi walilopo bado kuna kiza. Miaka michache iliyopita ndani ya gemu ya muziki wa kizazi kipya nchini unaobeba jina la Bongo Fleva tumeshuhudia kuibuka kwa makundi kadhaa ya muziki huo yalioundwa na vijana kwa lengo la kuweka nguvu ya pamoja na hatimaye kutusua (kufanikiwa) kimuziki. Katika hili wapo ambao wamefanikiwa na wengine waliingia kwa nguvu lakini wakafa…

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply