Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » JE NDOTO YA IRENE UWOYA’ ATATIMIZA NDOTO YAKE YA KUFANYA KAZI NA NYOTA WA NIGERIA NA GHANA…!!

WAKATI filamu nyingi za Tanzania zikiwa zinafanya vizuri kwenye masoko makubwa ya filamu ya nchini Ghana na Nigeria na Afrika kwa ujumla, msanii Irene Uwoya amedai kuwa kabla ya kumalizika kwa mwaka huu atafanya mchakato wa kutengeneza filamu na wasanii kadhaa wa nchini hizo ingawa bado anajipanga kwenye suala zima la fedha.
Uwoya akiwa location Akiongea na mau2ndu dj alidai kuwa amekuwa akiweka ukaribu na kujenga urafiki na baadhi ya nyota wa filamu wa nchi hizo ili hata pale atakapoamua kuwashirikisha kwenye filamu zake iwe rahisi. “Ni kweli tunahitaji kudumisha ukaribu kati ya Tanzania na nchi hizi mbili ambazo zinafanya filamu zinazoendana na sisi hivyo kwa upande wangu kama msanii ninayefanya vizuri nina hamu ya kucheza filamu moja na nyota wa nchi hizo, hivyo kwa sasa naweza kusema najipanga kwa hilo,” alidai.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply