Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » OMOTOLA AJIPANGA KUANZISHA "REALITY TV SHOW"




Muigizaji wa kike wa nchini Nigeria Omotola Jalade Ekehinde yupo kwenye mpango wa kuwa na reality TV show yake nchini Nigeria. Omotola ambaye ni miongoni mwa waigizaji waliofanikiwa zaidi kwenye tasnia ya filamu nchini humo anadaiwa kuwa kwenye mkakati wa kuwa na show hiyo iliyopewa jina la ‘The Real Omotola’. Kuna taarifa kuwa tayari yupo kwenye hatua za kushoot show hiyo ambayo itaanza kuruka baada ya miezi miwili nchini Nigeria na Uingereza. Show hiyo itakuwa ikionesha maisha yake ya kila siku na kuonesha mambo mengi ambayo watu wengi hawayafamu kutoka kwake.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply