Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''PETER OKOYE ATARAJIA MTOTO WA PILI''

     Siku chache baada ya kufiwa na mama yao mzazi {Josephine Okoye} Member wa kundi lijulikanalo kama Psquare Peter Okoye ambaye ni mkubwa kuliko mwenzake Paul amefunguka na kusema kuwa hivi karibuni anatarajia kupata mtoto wa pili.
      Peter ambaye ni Baba wa mtoto mmoja aitwae Cameron Okoye aliye zaliwa September 23 mwaka 2009 na Lola Omotayo ambaye ni Girl friend wake kitambo amesema ana furaha sana kwa kutarajia kupata mtoto mwingine na anmshukuru mwenyezi mungu kwa kumpa zawadi ya maisha. Na hiyo inaweza ikawa nifaraja sana kwa familia ya Okoye.
     Na haya ndio maneno aliyopost Peter katika mtandao wa kijamii wa Twitter @PeterPsquare; ''So happy we are expecting another child! Thanx God for the gift of life @PeterPsquare tweeted.......!!!


NB; Psquare ni kundi linaloundwa na vijana wawili mapacha, Peter and Paul ambao ni wazawa wa Nigeria na kwa sasa wako chini ya mtu mzima AKON katika lebo ya CONVICT MUSIC. vile vile wana ndege aina ya jet waliyoinunua kwa ajili ya safari zao binafsi za kutoka Nigeria kwenda Marekani.And now wanatamba na wimbo wao unaoitwa beautiful Onyenye walioshirikisha Rick Ross kutoka Maybach Music....................!!!!!!!!!!!!!

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply