Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » RAY AFUNGUKA: "NILIKIMBILIA KENYA KWA SABABU NINA MASHABIKI WENGI KULIKO TANZANIA"

 
SIKU chache baada kukanyaga ardhi ya Bongo kutoka uhamishoni nchini Kenya, nyota wa muziki wa kizazi kipya Afrika mashariki Rehema Charamila amesema kuwa hajarejea nchini kusaka wanaume.
 
Akizungumza juzikati jijini Dar Ray C amefunguka kuwa hakuja Tanzania kutafuta Bwana wa Kuolewa nae kama watu wanavyovumisha mitaani isipokuwa amefanya hivyo kwa ajiri ya mapumziko na kazi pia.

"Unajua mimi niliamua kuhamia Kenya baada ya kuona kuwa ninsupport kubwa kwa Mashabiki wa huko kuliko hapa Tanzania hivyo nikaamua kwenda kuwapa kile wanachokipenda na pia kujaribu kukuza muziki wangu.

Katika kusibitisha hilo hivi karibuni natarajia kuachia ngoma yangu mpya amabayo nimeipa jina 'Moyo Waniuma' alisema Ray C.

MPAKA  SASA RAY C  HAJAZUNGUMZA LOLOTE  JUU YA  MADAI  YA  KUTOA  MKANDA  WA X  AKIWA  HUKO  KENYA

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply