Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » MWANA FA ATARAJIWA KUTOA BURUDANI YA NGUVU KATIKA FAINALI ZA SHINDANO LA FREESTYLE LA NOKIA


Rapper wa Tanzania, Hamis Mwinjuma aka MwanaFA anatarajiwa kutumbuiza kwenye fanaili za shindano la freestyle la kampuni ya simu Nokia liitwalo Nokia Don’t Break the Beat.
 Fainali hizo zitafanyika Jumamosi hii ya September 1 jijini Nairobi, Kenya pande za Club Ichonic (zamani Club Barn) kuanzia saa 2 usiku huu.

Wasanii wengine watakaotumbuiza ni Bamboo, Keko, Madtraxx, Octopizzo na STL.
Mshindi wa kwanza kwenye shindano hilo atajishindia shilingi milioni 5 za Tanzania.
 Pamoja na zawadi hiyo mshindi wa kwanza atakula shavu la kusaini mkataba wa mwaka mmoja na Decimal Media/Universal Records. Mkataba huo utamfanya mshindi arekodi nyimbo na kufanya video tatu katika kipindi cha mwaka mmoja huku kwenye video moja akifanya collabo na rapper wa kike Stella Mwangi, STL. Tangu mwezi uliopita msako wa kumpata mkali wa michano Afrika Mashariki umeendelea kwa kuzunguka kwenye miji ya Nairobi, Mombasa, Kisumu, Eldoret, Kampala na Dar-es-Salaam.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply