jaden smith akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Will Smith, Ametoa nyimbo mpya inayoitwa Pumped Up Kicks akiwa amemshirikisha justin Bieber. Pia mwanamusiki huyo amesema sababu ya kumshirikisha justin bieber ni kutokana kuwa na ukaribu sana na familia ya will smith.
Video mpya ya Jaden Smith’s New Rap Video For “Pumped Up Kicks (Like Me)”

No comments