Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » SINTAH,AGNESS WASAMEHEANA


Lile Bifu baridi lilikuwa linafukuta  likiwahusisha nyota wawili wa kike wanaofanya vizuri kupitia filamu na muziki hapa Bongo Christina Manongi 'Sintah' na Agness Gerald 'Masogange' limezikwa rasmi kufuatia wawili hao kuombana msamaha


Katika mazungumzo ya dakika chache  aliyoyafanya v4n na mau2ndu dj mapema  leo Sintah amearifu kuwa Agness alimpigia simu na kuomba msamaha na sasa  ugomvi kati yao hamna tena na wanazungumza kawaida kama walivyo marafiki wengine.
"Sipendi uchonganishi jamani?? huyu dada alishaniomba msamaha na mimi na yeye tunaongea vizuri,,kama mtu anawashwa na yake aandike uchafu wake kupitia mitandao na ataona kitakachomkuta" alisema Sintah na kuandika pia kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii.
Akiendelea zaidi Sintah aliwataka watu waliokuwa wanamzungumzia mabaya kwa…

Lile Bifu baridi lilikuwa linafukuta  likiwahusisha nyota wawili wa kike wanaofanya vizuri kupitia filamu na muziki hapa Bongo Christina Manongi 'Sintah' na Agness Gerald 'Masogange' limezikwa rasmi kufuatia wawili hao kuombana msamaha
Katika mazungumzo ya dakika chache  aliyoyafanya v4n na teentz.com mapema  leo Sintah amearifu kuwa Agness alimpigia simu na kuomba msamaha na sasa  ugomvi kati yao hamna tena na wanazungumza kawaida kama walivyo marafiki wengine.
"Sipendi uchonganishi jamani?? huyu dada alishaniomba msamaha na mimi na yeye tunaongea vizuri,,kama mtu anawashwa na yake aandike uchafu wake kupitia mitandao na ataona kitakachomkuta" alisema Sintah na kuandika pia kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii.
Akiendelea zaidi Sintah aliwataka watu waliokuwa wanamzungumzia mabaya kwa Agness waache kwani shoga yake huyo wa sasa kamwambia yote kuhusu watu hao ila ameamua kuwanyamazia na kuwaangalia tu.
"mimi simjui Agnes ila nikiona mtu kafanya makosa namsahihisha ndo mana alikuja kuniomba msamaha na sina kinyongo naye tena na maisha yanaendelea kama kawa" alisema Sintah.
"Nimemsamehe sasa maneno mengine mnayatoa wapi? kama mtu ana picha zangu za ngono zitoeni jamani kwanini mnanitishia??haaaaa nimeshatoka huko kitambooo sana lolest,,labda mtengeneze na za kutengeneza tunazijua hivihivi mtasubiri sana tena sana ninajiamini 100%Agnes alinieleza mkanda mzima wa yaliyomtokea na nikaona wasichana wanadhalilishwa sana ktkana na pombe"
 
 "Jamani yale maisha ya twendeni tukamnywe mbona yamepita? so msiendelezee maneno yenu ya ajabu mimi na Agnes tunaongea tena siku ile ile ndo maana nilifuta posts na nimemsema sana nadhani ameanza kunisikiliza na akinisikiliza atafika mbali maana ni binti mzuri so mnaopenda watu wagombane poyeeeeeee"
,, mmeshushukaje??tafuteni mwingine kwangu ni fulllll stooooooop,, Agnes nakwambia hapa mbele ya watu huna marafiki ni wanafiki wao ndio wamenitumia video kwa mda wako uje nikuonyeshe waumbuke na munch status zako zote walituma"
Sintah

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply