Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » SUMA MNAZARETI APONEA CHUPU CHUPU KUPIGWA CHINI MTANASHATI ENTERTAINMENT



Rapper wa kampuni ya Mtanashati Entertainment, Suma Mnazareti nusura apigwe chini na uongozi kwa kukiuka miongoni mwa masharti yaliyowekwa kwenye mkataba wake.

Sharti alilolivunja ni kuchukua uamuzi wa kusambaza video yake mwenyewe kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na meneja wa kampuni hiyo.



Akiongea na mau2ndu dj Mkurugenzi wa kampuni hiyo Ustaadh Juma alisema, “Kiufupi msimamo wa Mtanashati ni kwamba sisi tuna menejimenti maalum. 


Msanii anapotoa nyimbo, meneja anaanza kuipeleka kila media ianze kufanyiwa kazi kwa nidhamu maalum na video pia itasimamiwa kwa nidhamu maalum, na meneja wetu ndiye atasambaza video kwa nidhamu maalum.”

Amesema Suma alikuwa hajajua utaratibu huo na tayari baada ya kuonywa ameomba radhi na amesamehewa.


“Lakini napenda kusema kwamba, ikiwa msanii yeyote anajua anatoka Mtanashati harusiwi kuleta yeye mwenyewe kazi kwa mkono. 


Msanii atakayekuja basi media naomba zifahamu kwamba msanii ameenda kinyume na utaratibu wa Mtanashati na ni kinyume cha nidhamu,” alisisitiza Ustaadh Juma.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply