Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''WIMBO WA NEY WALETA UTATA BONGO MOVIE''

Msanii wa kizazi kipya ney wa mitego pichani ameleta zengwe kwenye tasnia ya filamu baada ya kudaiwa kuwakashifu baadhi ya member wa club inayojulikana kama ''BONGO MOVIE'' ambao ni wanawake.
  Sakata hilo limeibuka hivi karibuni baada ya ney wamitego kutoa nyimbo INAYOITWA NASEMANAO ambayo ina mashairi yasemayo''MAKAHABA WALIKUBUHU WAKO BONGO MOVIE'' 
  Hivi karibuni msanii ney alihojiwa na moja ya television na kusema kuwa alichokisema anauhakika nacho kwani amewahi fanya uchunguzi na rafiki yake wa karibu na kufanikiwa kuwapata wasichana watatu kutoka bongo movie na kulala nao kwa gharama tofauti huku aliyechukua pesa nyigi alichukua sh. laki sita{600,000} kwa usiku mmoja
   Kwa mujibu ya baadhi ya member wa bongo movie like katibu wa club hiyo Issa Mussa{cloud},Shamsa Ford na Hemmed Suleiman walisema kuwa wao ni wanachama wa club hiyo but hawana taarifa yoyote kuhusu alichokiongelea nay wamitego kwani hawajawahi sikia kama katika club yao kuna watu makahaba na ney aliongea tuu ili asikike

NB: Ney alisema kuwa wasichana wote waliochukuliwa rafiki yake huyo anawafahamu majina na ni mastaa siku akiamka vizuri atawataja wote kwa majina kwani siku ambazo walikuwa wakichukuliwa ney alikuwepo katika maeneo ya tukio ili kukamilisha research yake.....!!!

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply