Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''ALICHOKISEMA RECHO KUHUSIANA NA PICHA INAYOONESHA YEYE NA LINAH WAMESHIKWA MAZIWA NA DIAMOND PLATNUMZ''

     Kwa siku kadhaa kumekuwa na picha iliyozagaa mtandaoni ikimwonyesha mkali wa muziki wa bongo flavour Diamond platnumz akiwa ameshika nido za madashosti wawili ambao
ni Linah na mwana dada Recho huku wakionekana kukaa kimaha..........................!!!!!!
     Leo jumapili ya tarehe 23 mwezi wa 9 mwaka 2012 mwanadada recho amefunguka na kusema juu ya picha hiyo.Recho amefunguka kuwa hiyo ni picha ambayo walipiga wakiwa katika tour ya fiesta walikuwa na watu wengi tuu wakiogelea katika swimming pool.
     Akizungumzia muonekano wa picha hiyo Recho anayetamba na wimbo wake wa nashukuru umerudi amesema kuwa mpiga picha alikuwa na haraka ya kupiga picha kwani wao walikuwa hawajajiandaa.
     Nakuongeza kuwa picha hiyo walipiga tuu kama picha zingine kwani walikuwa katika eneo la kufurahi {swimming} hivyo anashangaa kuona zimeenea katika mtandao.
    MACHO YANGU:Kwa macho ya mau2ndu dj'z yakiangalia picha hii hapo juu yanaona kama watu hawa ''walijipanga kupiga picha'' binadamu yoyote alikamilika{mwenye macho mawili} akiiona picha hii na umwambie eti watu hawa hawakuwa katika pozi bali walikuwa hawajajitayarisha sidhani kama atakubaliana na wewe.
    

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply