![]() |
| Huyu ndiye mnyakyusa aliyemdatisha Linah katika tamasha la fiesta 2012 mbeya . |
![]() |
| Linex mzee wa aifola akiwapagawisha mashabiki usiku huu ndani ya uwanja wa sokoine. |
![]() |
| Mashabiki ni full shangwe kweli mbeya bhaasssssssss |
![]() |
| Recho kizunguzungu naye alikuwepo katika kuweka historia jijini mbeya usiku huu |
![]() |
| Mkali wa miondoko ya R&B bongo Ben paul akiimba kwa hisia usiku huu ndani ya uwanja wa sokoine |
![]() |
| Baba steve naye yupo kuwapa vidonge magubegube usiku huu ndani ya uwanja wa sokoine. |
![]() |
| Mama skendo kutoka bongo movie naye hayupo nyuma kuwadatisha wanyakyusa waliofurika kiwanjani hapa. |
![]() |
| Mkali diamond akiimba kwa hisia katika uwanja wa sokoine jijini mbeya ze green city. |
![]() |
| Kutoka bongo movie Aunty Ezekiel,Wema sepetu,Shilole wakiwasikiliza mashabiki waliofurika uwanjani hapa. |
![]() |
| Linah sanga yupo naye katika amshaamsha za fiesta 2012 mbeya katika uwanja wa sokoine. |
![]() |
| Mwanahip hop kutoka morogoro Stamina akikamua mbele ya umati mkubwa wa watu waliofika uwanja wa sokoine. |
![]() |
| Moja kati ya maMc wa show hiyo kutoka Clouds fm Adam mchomvu akiwachachawisha mashabiki wa muziki waliofurika katika uwanja wa sokoine. |
![]() |
| Hii ndio amshaamsha ya mbeya ze green city ''hapa chezea mbeya wewe'' lazima ukae. |
![]() |
| Msanii kutoka mbeya ze green city anayejulikana kwa jina la KD alikuwepo nae usiku huu kuwarusha wana mbeya katika uwanja wa sokoine. |
![]() |
| Umati huu unaonyesha baadhi ya mashabiki waliofurika kushuhudia serengeti fiesta 2012 bhaassss katika uwanja wa sokoine mbeya. |
![]() |
| Super nyota kutoka mbeya ze green city neey lee akiimba pamoja na mashabiki waliofurika katika uwanja wa sokoine. |




















No comments