Mmiliki wa maduka ya RobbyOne
fashion maarufu kama Robby one na Big jahman ambaye pia ni mmiliki wa
maduka
ya Jahman fashion leo tarehe 20/9/2012 wamefikishwa katika
mahakama ya hakimu mkazi kisutu kwa tuhuma ya kukutwa na mali ya uwizi.
Mzigo huo unaosemekana una dhamani ya shilingi millioni mia mbili hivyo kupelekea dhamana ya kesi hiyo kuwa hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa.
Chanzo chetu cha habari kilichokuwepo eneo latujio kinasema kuwa watuhumiwa hao walishindwa kuwasilisha hati hizo za nyumba kwa kila mmoja hivyo kupanda kwenye karandinga na kupelekwa moja kwa moja segerea............................... Kwa habari zaid kuhusu habari hii endelea kupitia....... www.mau2ndudj.blogspot.com
No comments