Pages

Pages - Menu

Sunday, September 30, 2012

''CHIEF KIUMBE ZE BIG BOSS AMPA SHAVU SHETTA''

    Msanii anayetamba na ngoma yake ya nidanganyedanganye alioshirikisha Diamond platnumz amepata shavu la kurekodi video yake ya nyimbo yake mpya inaayoitwa ''bonge la bwana'' buree {free of charge}.
    Shetta ambaye ni maarufu kama baba qaylah amepata shavu hilo kutoka kwa
chief kiumbe maarufu kama big boss.
    Kwa maelezo ya chief kiumbe amedokeza mau2ndu kuwa ameamua tu kumfanyia hivyo msanii sheta kwani yeye anapenda muziki hivyo haoni sababu ya kutomfanyia kitu kama hicho msanii shetta.                              ''SO TUSUBIRI KUONA KICHUPA HICHO''

No comments:

Post a Comment