Pages

Pages - Menu

Monday, October 1, 2012

''ABBA MOKO'' AFUNGUKA NA MAU2NDUDJ.BLOGSPOT.COM JUU YA NDOTO ZAKE


 Abbas Yussuph,21,anadream ya kuwa the next Big tigga in tz kwenye suala la utangazaj,Abbas maarufu kwa jina la utangazaj ‘’Abba Moko’’ ni mwanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari(DSJ) aki-persue Dipolma in
Jornalism,anamapenzi  makubwa na suala la utangazaji na kwa sasa ana-hold tittle ya muingizaj saut wa jingle za bush hapo chuoni kwake na kuhost bush hizo pia ni reporter wa entertainment newz @Barmedas Tv ya jijini Mwanza. ‘’Huu ni mwanzo mzur wa kufikia ndoto zangu za kuwa bonge la presenter na hoster hapa tz’’
Kama ilivyo kwa watu wengi, Abba Moko nae ana mtu anayemuangalia kama role modal,’’I hav been idolizing one of the hottest presenter in Tz, Edzen the Rocker wa Kiss Fm.’’, napenda anavyohost vipindi vyake na  anavyobehave akiwa on air’’, lakin pia ukitoka nje ya bongo kuna mtu ambaye Abba anampenda na hapa ni moja kwa moja unashuka pale kwa obama, BET na tunamcheki  Big Tigga ambaye ni presenter  na hoster wa BET.

 
Pia ukiachilia mbli na suala la utangazaji Abba anapenda sana kuwa producer wa vipindi mbali mbali pamoja na graphit design.’’Sitaki niwe mtu hasiyejua vitu vingi kwenye fani yangu ya utangazaji napenda sana niwe producer wa vipind na matangazo pamoja na graphit design, kwa hiyo mwakan ntapga shule kuhusu hizi mambo pia’’, ndivyo alivyomalizia kijana huyo mwenye swagga na code za kikaka zaidi.Pia Abba Moko ni member wa kundi la music lijulikanalo kama ‘’THE SWITCH’’ linaloundwa na Bobic,Joshy Joh na Abba Moko mwenyewe na kundi hilo lipo ndan ya WAKACHA WARRIOS(TSWW)

No comments:

Post a Comment