Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » JE WAJUA "ASILIMIA 80 YA WATU MAARUFU NI MAKAHABA" – SINTAH.

MWIGIZAJI wa filamu katika tasnia ya filamu na mtangazaji Redio na Televisheni Christine John Manongi ‘Sintah’ amezua utata mjini baada ya kauli aliyotoa katika moja ya vyombo vya habari akisema kuwa asilimia kubwa ya watu mashuhuri ni makahaba, kauli hiyo ilipokelewa vibaya na wasanii wa Bongo movie na kuja juu wakidai kuwa amewadhalilisha kwa kusema hivyo na wakataka akanushe kupitia vyombo vya habari.



Mpekuzi  iliongea na Sinta pamoja na rais wa shirikisho la filamu Simon Mwakifwamba ili kujua kuhusu utata huo ambao umetafsiriwa kuwa msanii huyo amewadhalilisha wasanii hasa akina dada wenzake ambao ndio wamekuwa wakiripotiwa vibaya katika vyombo vya habari kwa kuandamwa na kashifa za ngono kila kukicha.

“Ni kweli tunajiandaa kuongea na Sinta kuhusu hilo na kama itadhibitika itabidi aombe msamaha kwa wasanii wenzake na si vinginevyo, kwa sasa tumepanga kujenga nidhamu kwa wasanii tukianzia na hilo suala la ukahaba na mambo mengine,”alisema Mwakifwamba.

Sakata hilo likiwa linaendelea kuwaka moto mpekuzi  ilifanya utafiti kuhusu suala hilo kwa kuongea na baadhi ya wasanii ambao hawakutaka majina yao yatajwe katika mtandao huu.

Wao wanadai kuwa suala hilo hata Sinta mwenyewe linamgusa njia moja au nyingine kwani naye ni msanii katika tasnia hiyo japo hashiriki katika filamu mara kwa mara.

“Shida moja watu wengi hawana taratibu ya kusikiliza kitu anachoongea mtu. 

Mimi nilichosema ni kwamba asilimia kubwa ya Macelebrate (Watu Mashuhuri) wanapoyumba kiuchumi ujikuta wakifanya ukahaba ili kulinda status zao, sikusema Bongo Movie au mwigizaji kutoka kundi fulani ni all Celebrates,”anasema Sinta.

Sinta amedai kuwa katika watu hao mashuhuri wapo Watangazaji, waigizaji, wanamuziki na watu wengine ambao wanatamba na kutesa hapa mjini .

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply