Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''KANYE WEST AMSHIRIKISHA D'BANJ KATIKA ALBUM MPYA YA GOOD MUSIC''

D'banj akiwa na Boss wake Kanye west



      Msanii aliyepata shavu la kusaini mkataba na Rappa nguli wa Marekani Kanye west katika lebo yake ya Good Music D'banj maarufu kwa jina la coco master ameshirikishwa katika moja ya nyimbo za album ya Lebo hiyo ya good music.


       Katika album hiyo iliyopewa jina la ''CRUEL SUMMER'' D'banj au coco master anasemekana kuwa na utajiri mkubwa kwa sasa ameshirikishwa kwenye nyimbo inayoitwa The morning .Katika album hiyo wapo wasanii maarufu walioshirikishwa kama R kelly,Jay z,suprise cameo,Big sean,2 chainz,Pusha t,Common,kid cudi and John legend.

   Coco master {D'banj} alisaini mkataba wa kuingia katika lebo ya Good Music mapema mwaka huu.Lebo hiyo iko chini ya mtu mzima KANYE WEST.
''GOOD MUSIC MEMBERS'' kushoto kwenda kulia Pusha t,D'banj,Kanye west,2 chainz,Big sean,Mr. Hudson{juu},Teyana taylor,Hit boy and cayhii da prince
 

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply