Pamoja na ukweli kwamba filamu za Tanzania zimefika katika hatua nzuri kwa
sasa katika nyanja za uandishi, utayarishaji, usambazaji na mauzo
ukilinganisha na miaka kama mitano iliyopita, bado kuna kasoro za hapa
na pale.
Kasoro ni nyingi kulingana na uchanga wa tasnia hiyo
ukilinganisha na filamu za kimataifa lakini ni suala linaloweza
kuvumilika kutokana na ukweli huo.
Lakini kuna baadhi ya wadau wamekuja
na sababu kadhaa za utani ambazo zinatambulisha filamu za Bongo nazo ni:
1. Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke barabara.
2. Matajiri majumba yao yana askari badala ya electric fence & gates.
3. Trailer inachukua dakika 40.
4. Part2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part1 ilikuwaje.
5. Mademu wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa.
6. Wakifika hotelini imezoeleka ni juice inaagizwa au wine isiyofunguliwa.
7. Nusu saa mtu anatembea,anafanya mazoezi, anakimbizwa ananunua vitu.
8. Wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha.
9. Mtu yupo village, life gumu ana wave kichwani.
10. Wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani.
11. Jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara.
12. Tajiri anakuja kumpenda maskini.
Random Posts
Powered by Blogger.
Contact us
www.mau2ndudj.blogsport.com
email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com
simu -
-0764277248
-0719184760
email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com
simu -
-0764277248
-0719184760
Special offer
Mau2ndu djz @Copyright 2012
Ads 468x60px
Social Icons
Featured Posts
Total Pageviews
Search This Blog
Blog Archive
MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO
Lorem 1
Technology
Circle Gallery
‹
›
Shooting
Racing
News
Lorem 4
Home
»
»Unlabelled
» MAMBO 12 YANAYOSHUSHA THAMANI YA MOVI ZAKIBONGO
Tagged with:
About MAU2NDU DJ'S
WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments