Pages

Pages - Menu

Saturday, September 29, 2012

''MASHINDANO YA NYAMA CHOMA KATIKA VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA''

    Yale mashindano maarufu ya kuchoma nyama yanayofahamika kama nyama choma festival yanafanyika leo katika viwanja vya posta pale kijitonyama jijini Dae es salaam.
    Katika mashindano hayo kutakuwa na watu wanaochoma nyama mbalimbali kama
mbuzi,n'gombe na nk.Kwa upande wa kiingilio katika mashindano hayo ni shilingi elfu 5,000 huku geti likifunguliwa saa tano asubuhi mpaka mishale ya saa tano usiku wa leo.
                     ''KARIBU TULE NYAMA VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA''
   

No comments:

Post a Comment