Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''VODACOM YAZINDUA BONGA TARRIF YAPUNGUZA 50% YA BEI ZA KUPIGA SIMU KWENDA MITANDAO YOTE''




VODACOM YAZINDUA  BONGA TARIFF YAPUNGUZA 50% YA BEI ZA KUPIGA SIMU KWENDA MITANDAO YOTE
  • Wateja wanaweza kupiga simu kwa Tsh1.5.
  • Kwenda mitandao yote nchini – kwa siku nzima, kila siku.Dar e salaam 19th 2012  Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kuanzia jana,Imeamua kuwafurahisha  Wateja wao  kwa kuendelea kuwaboreshea huduma
    mbalimbali hasa wale wanaotumia  simu za mikononi, wanazo sababu za kuufurahia mtandao wao na kuendelea kupiga simu zaidi  kutokana na mtandao wao kupunguza bei za kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa asilimia 50. Huduma hii mpya ya Bonga tariff inayowezesha wateja kupiga simu kwenda mitandao yote Tanzania kwa Tsh 1.5 kwa sekunde.
    Kwa mujibu wa Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Rene Meza, alisema anapenda kuwajulisha watanzania na wateja wote kwa ujumla kuwa kwa ajili ya kujiunga na huduma hii mpya, wateja wanatakiwa kupiga  *149*01# na wataunganishwa bure bila malipo yoyote,Hata hivyo wateja wa Vodacom wataendelea kunufaika na huduma nyingine kama vile vifurushi vya cheka ‘cheka bundles’
    “Kwa mara ya kwanza Tanzania,Mteja akiwa na huduma ya Bonga ahitaji kubadilisha SIM kadi yake au kubeba simu mbili,kwani bei/huduma ya Bonga inamwezesha mteja kupiga simu kwenda mtandao wowote ule na kumpunguzia mteja usumbufu.alisema Meza.
    “Tunaishi katika Dunia ambayo inahitaji kila mtu awasiliane na mwenzake na pia wapendwa wao kwa hivyo ni muhimu kuwawezesha kuwasiliana kwa bei nafuu na kwa urahisi zaidi,” alisema Meza na kuongezea, “Bonga itawawezesha Watanzania kuweza kuwasiliana zaidi na kuunganishwa popote pale walipo na kuweza kuinua uchumi wan chi yetu.”

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply