Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''KWA HALI HII NEY WA MITEGO HAKUKOSEA KUSEMA MAKAHABA WALIOKUBUHU WAKO BONGO MOVIE''

.
       Zikiwa zimepita siku chache baada ya ney wa mitego kuthibitisha kauli yake kwamba makahaba waliokubuhu wako bongo movie na kusema endapo atatokea mtu wakumpinga atawataja kwa majina wale wote wanaofanya biashara hiyo mambo yamekuwa mambo.


       Katika tamasha la muziki maarufu kama FIESTA ambapo msimu huu limepewa jina la FIESTA BHAAASSS MUONEKANO MPYA BURUDANI ILE ILE  yametokea mambo ambayo katika hali ya kawaida sio mazuri kwa jamii.
      Mambo hayo ni yale yanayofanywa na dada zetu kutoka bongo movie namaanisha Wema sepetu na Aunt ezekiel. kwa mwaka huu tamasha hili la fiesta limekuwa tofauti mno kwani ukiachilia mbali wasanii {waimbaji} wanaozunguka katika mikoa mbalimbali wamekuwa wakiambatana na waigizaji kutoka bongo movie.
      Lakini kwa takribani show kadhaa tumeshuhudia dada zetu hawa wakiwa wamevaa mavazi ya aibu mno yanayo wafanya kuonesha maungo yao nyeti kama wema anavyo onekana katika picha hapo juu.
     Aunt ezekiel wiki iliyopita aliomba msamaha kwa kusema kuwa hakutarajia kuonesha chupi yake katika picha aliyopigwa alipokuwa anacheza muziki, lakini kwa wema sasa hii noma naye atasema hakutarajia kutuonesha ''makalio yake''?
      Kwa hali hii hakuna ubishi kwa kauli ya ney wamitego aliposema makahaba waliokubuhu wako bongo movie kwani kama ni mwanamke wa kawaida huwezi kuonesha makalio yako kirahisi hivi au upo biasharani???

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply