Msanii wa muziki wa kizazi kipya ''IZZO BUSSINES'' Anayetoka katika mkoa wa mbeya {ze green city} ambaye anashutumiwa na wana mbeya kwa kuiponda nyimbo ya Mbeya All Stars inayoitwa MBEYA NYUMBANI akidai kuwa wamecopy na kupaste kutoka kwa kigoma all stars{lekadutigite}.
Mimi
navyojua MBEYA ALL STARS walikuwepo toka Mwaka 2011 ndipo nilipoanza
kuwafahamu na ilikuwa ikihusisha All Artist ambao bado wanahaso na Music
waweze kutoka na Track yao ya Kwanza ya THIS IS WHATnililetewa niweze
kuicheza ilikuwa 15/7/2012 na Track yao ya Pili ya TUSAIDIE
nilikabidhiwa 18/10/2011 iliyokuwa ikizungumzia Majanga mbalimbali kama
Masoko kuungua na Baada ya hapo track yao ya mwisho ya MBEYA NYUMBANI
nililetewa 24/8/2012......... Na kama IZZO B wazungumzia kuwa kama ni
Copy na Paste idea ya KIGOMA ALL STARS si kweli NA JE ungepewa taarifa
ya ushiriki ungekubali kweli tuwe wazi.... wazungumza baada ya hustle za
hawa ARTIST kuanza kushine au?...... Ni jitihada zao binafsi zilizojaa
machungu, kuthamini, kujali na kutokata tamaa lichaya kuwa sapoti
walikuwa anayo ndogo mimi naona tusiwakatishe tamaa.... elezeni ni wapi
wamekosea na kufanya vibaya!!*********Jamani ni maoni yangu*******CHRIS
BEE
No comments:
Post a Comment