Ashanti shequiya Douglas ndiyo jina alilopewa na wazazi wake lakini anafahamika kama Ashanti,leo tarehe 13 mwezi wa kumi ya mwaka 2012 ammefikisha miaka 32.
Ashanti ambaye ni mwandishi wa
mashairi,producer,mwimbaji,model,dancer na pia actress alizaliwa Glen cove huko America mwaka 1980.
Amewahi tamba na nyimbo kama the way that ilove u inayopatikana katika album yake inayoitwa Ashanti pia amewahi kucheza movie kama ''John tucker must die'' movie iliyompatia umaarufu mkubwa katika anga za hollywood.
''HAPPY BIRTHDAY ASHANTI''
No comments:
Post a Comment