Pages

Pages - Menu

Thursday, November 15, 2012

''HAWA NDIO WATAKAO SINDIKIZA SHEREHE ZA MIAKA MITANO YA BOMBA FM''

Katika kuonyesha inajali mashabiki na wasikilizaji wake Redio Bomba Fm imeandaa party iliyopewa jina la ''REVOLUTION PARTY IN BOMBA FM'' itakayofanyika pale Ngome kongwe Tarehe 17/11/2012.
Party hiyo ni mahususi kwa kusherekea kutimiza miaka mitano tangu Bomba Fm ianzishwe,wasanii watakao kuwepo kukonga nyoyo za mashabiki ni pamoja na Ali kiba,Baby j,Bob junior,Berry black,Off side trick,na Queen darlin.
                                                    ''HII SI YA KUKOSA''

No comments:

Post a Comment