Pages

Pages - Menu

Thursday, November 15, 2012

''HUYU NDIYE MWIGIZAJI MKONGWE NA MAARUFU WA NIGERIA ALIYEFARIKI DUNIA''

MAREHEMU PETER ENEH
    Tasnia ya filamu nchini nigeria imeingia katika simanzi kwa mara nyingine baada ya muigizaji mkongwe nchini humo Peter Eneh kufariki dunia.
   Marehemu Peter Eneh amefariki jana katika hospitali ya Park lane iliyopo katika mji wa Enugu.Siku chache zilizopita ililipotiwa kuwa marehemu aliupoteza mguu wake wa kushoto aliokatwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.
                                                             ''R.I.P PETER ENEH''

No comments:

Post a Comment