Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » '''HIKI NDIO KIINGILIO CHA REDDS MISS TANZANIA''



Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya kufanyika kwa fainali ya shindano la Redds Miss Tanzania 2012 katika ukumbi wa Blue Pearl, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, November 3.  Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International inayoratibu shindano hilo, Hashim Lundenga, alisema mpaka kufikia sasa maandalizi yote yamekamilika na kila kitu kipo tayari.   Katika upande wa burudani, wasanii wa muziki wa kizazi
kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Winfrida Josephat ‘Rachel’ na Wanne Star Ngoma Troupe wanatarajiwa kupamba fainali hizo.  Alisema tiketi zimeanza kuuzwa leo, kwenye vituo vilivyopendekezwa kulingana na maoni ya wadau ambapo tiketi moja inauzwa kwa shilingi laki moja.   Maeneo ambayo tiketi hizo zinauzwa ni pamoja na Regency Park Hotel, Rose Garden Mikocheni, Shear Illusions Mlimani City, Ubungo Plaza na Ofisi za Lino Agency Mikocheni.  Lundenga aliongeza kuwa kutokana na ukubwa wa shindano hilo kwa mwaka huu, wale wote watakaofanikiwa kuingia ukumbini, watakaa viti maalumu vilivyowekwa katika hadhi ya kimataifa.  Lundenga alitoa shukrani kwa wadhamini wa shindano hilo, Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Redd’s Original, Star TV na Giraffe Hotel…………

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply