Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''HUU NDIO MPANGO WA C PWAA KUFANYA COLLABO NA WASANII KUTOKA GHANA NA AFRIKA KUSINI''

Mkali wa miondoko ya crunk bongo C pwaa leo ameongea kupitia  Powerjams ya East Africa Radio baada ya kutoka Afrika ya Kusini  kuwa pamoja na kwamba hakurudi na Tuzo lakini amegundua kwamba muziki wake umefika mbali kuliko alivyokuwa anadhani.Cpwaa anasema kuwa tangu afike alikuwa akitafutwa afanye mahojiano na vituo mbalimbali vya redio, "lakini kikubwa ni kwamba nimerudi na habari nzuri kuwa niko na mipango ya kufanya kazi na
msanii mkubwa wa Ghana D-Black, msanii mwingine wa Afrika ya Kusini na pia Navio kutoka Uganda", Cpwaa.Msanii huyo pia alizungumzia kuhusu ngoma mbili hivi karibuni 'Mambo' na 'Mission 12 0'Clock' kuwa video zake zinakuja na kama kawaida zitakuwa kali ili kuweza kufikisha muziki wetu kimataifa.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply