Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''BERENICK KIMARO AWA MSHINDI WA MAISHA PLUS SESION 3''


Bernick Kimaro pichani mshiriki kutoka jijini dar es salaam usiku huu ameibuka mshindi wa shindano la Maisha PluS session 3.
Bernik ameibuka mshindi baada ya kuwabwaga washiriki wenzake wawili walio kuwa wameingia tatu bora ambao ni Justine mwakilishi kutoka Morogoro na Venance ambaye ni mshiriki kutoka .Awali washiriki waliokuwapo wanawania kitita hicho ni 18 lakini ukapita mchujo hadi kufika watatu ambae ni mshindi,Justine na Venance.

Mshindi wa maisha plus sesion 3 amepata millioni 20 wakati mshindi wapili amepata shilingi millioni 6 na wapili amepata milliono 4.Mara ya kwanza ilijulikana kuwa mshindi atakayepata fedha ni mshindi wa kwanza tuu! lakini naibu waziri wa
Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akatoa kama ofa kwa mshindi wa pili kupata millioni 6 na wapili kupata millioni 4.

Fainali za maisha plus zilitaka kuingia dosari pale simu ilipopigwa kutoka mkoani {nyumbani} kwa kina Venance kwa madai ya kuwa aliyoyasema akiwa katika kijiji cha maisha plus ni uongo kuhusu familia yake lakini masudi alimsikiliza mama huyo hadi mwisho na kumuahidi kuwa atalitafutia ufumbuzi na kuendelea na shughuli.

Tukio lingine ni lile la mshindi Bernick kuzirai baada ya kupata ''shock'' kutokana na furaha aliyokuwa nayo baada ya kuambiwa aseme chochote kwa wananchi waliomuwezesha kuibuka mshindi
''HONGERA BERNICK SOTE TUNASHEHEREKEA USHINDI WAKO KWANI TUNAJUANA TOKA TUKIWA PALE STAR TV DAR ES SALAAM GOD BLESS U''

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply