Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''MUIGIZAJI MWINGINE WA FILAMU NCHINI NIGERIA AFARIKI DUNIA LEO''

Ikiwa zimepita siku chache tangu tasnia ya filamu nchini Nigeria kumpoteza mkongwe wake marehemu Peter Eneh,Leo tarehe 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka 2012 wapenzi wa filamu nchini Nigeria na duniani kwa ujumla wameingia simanzi baada ya kumpoteza veteran mwingine katika tasnia hiyo.
Marehemu Enebeli Elebuwa pichani alikuwa akiwakilisha vema nchi yake kupitia filamu amekufa mapema leo asubuhi huko Newdelhi India alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa
kupalalaizi alioupata mapema mwaka jana.
Enebeli alizaliwa miaka 65 iliyopita katika mji wa Otagunu huko Nigeria na alianza rasmi kuigiza mwaka 1967 na baadhi ya filamu alizowahi kucheza ni ''lost kingdom,Abuja connection,sensitional,Men do cry na nyingine nyingi.
                                                   ''R.I.P  ENEBELI ELEBUWA''

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply