BAADHI ya wasanii wa filamu nchini Tanzania watoa maoni yao juu ya
utangazaji wa kazi zao kwa ngazi ya kimataifa itakayofanywa na kampuni
ya Mad Mad iliyopo nchini London Uingereza
Mmoja wa wasanii hao ambao wametoa maoni yao ni pamoja na Steven Nyerere
alisema anaamini kampuni hiyo itafanya kazi vizuri na wasanii huku
wakiwa wanannafasi kubwa ya kutangaza kazi zao kimataifa
Alisema wasanii wanatakiwa kujiandaa kimataifa huku wakitoa ushirikiano
wa kutosha kwenye kampuni hiyo yenye lengo la kuinua kipato cha wasanii
wa filamu nchini
Steven aliweka wazi kuwa watatoa kipaumbele kwenye matumizi ya lugha ya
kiswahili hivyo watatumia lugha hiyo kwa asilimia kubwa ili kutangaza
lugha hiyo kimataifa
Alisema kuwa teyari wameshaanza maandalizi ya kutengeneza filamu ambayo
itakayoingizwa katika soko la kimataifa inayokwenda kwa jina la Kongo
akiwa ameshilikishwa msanii maarufu wa nyimbo za Kikongo Fally Ipupa
pamoja na nyota wa hapa bongo akiwemo Dk. Cheni na wengineo
"Katika filamu hiyo itatumika lugha pia ya kiswahili ili kujitangaza na
kutangaza kazi zao , filamu ambayo itatumia muda mrefu kutengeneza ili
itoke kwenye ubora mzuri tofauti na filamu zinazotengenezwa wiki mbili"
alisema Nyerere
Wakati huo huo baadhi ya wasanii wengine wanaonekana kutokupata taarifa
kwa wakati kuhusu kazi ya kampuni hiyo hali hiyo inaonyesha wasiwasi wa
utendaji kwa upande wao wa kisanii
Monalisa ambaye pia ni msanii mkongwe yeye alisema kuwa kampuni haijui
na hajawahi kuhisikia hivyo anashindwa kuongelea chochote wala kutoa
mawazo yoyote ya nini kifanyike ili kuboresha kazi zao
Akiongelea kuhusu ukuzaji wa kipato cha wasanii kutokana na kutangaza
kazi zao kimataifa alisema hanauwakika kuhusu hilo kwani kunakuwa na
matatizo kwa waongozaji wa filamu kuwalipa wasanii bila ya kujua thamani
ya pesa inayotoka na inayoingia
Pamoja na hayo Monalisa alishangazwa na kitendo cha baadhi ya wasanii
kuwa wabinafsi kwa kuto toa ushirikiano wa kutosha ili kuboresha kazi
zao za sanaa
Random Posts
Powered by Blogger.
Contact us
www.mau2ndudj.blogsport.com
email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com
simu -
-0764277248
-0719184760
email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com
simu -
-0764277248
-0719184760
Special offer
Mau2ndu djz @Copyright 2012
Ads 468x60px
Social Icons
Featured Posts
Total Pageviews
Search This Blog
Blog Archive
MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO
Lorem 1
Technology
Circle Gallery
‹
›
Shooting
Racing
News
Lorem 4
Home
»
»Unlabelled
» FALLY IPUPA KUCHEZA FILAMU NA WABONGO
Tagged with:
About MAU2NDU DJ'S
WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments