Super Producer mwenye heshima kubwa sana Bongo Land a.k.a Jakaya Land kama sio Teezy au Tanzania P Funk Majani a.k.a Majanino,Kinywele Kimoja au Mdachi amefunguka na Xtra Team kuelezea mipango aliyonayo yeye na Crew yake isiyo na jina
Dats Wats up Mtu mzima P Majani na kundi lake la NO NAME kwa sasa wametoka na ngoma yao inayokwenda kwa jina la HANDS UP ambapo humo ndani yumo Ambross Dunga,Lamar,John Maundi na maproducer wengine wengi.
MIPANGO YA MAJANI KWA MWAKA 2013

No comments