Kwa kipindi cha muda mrefu kumekuwa na tantalila za kitaa kwamba Heavy Weight Mc Proffesor Jay anataka kugombea ubunge ili naye awe muheshimiwa atimbe kwa mjengo kama ambavyo kaka wa Mji Kijani Mbeya anavyowakilisha. Yawezekana hukupata bahati ya kumsikiliza popote Jay mwenyewe akilizungumzia hili ila kwa kuwa inalipa kukutupia maujanja basi hapa Jay anafunguka.
Huyo ndo Joseph Haule a.k.a Proffesor Jay so kama wewe ni kati ya waliokuwa wakisubiri kujua kama atagombea lini basi hizo ndo habareeeeeee!!
PROFFESOR JAY AKANA KUGOMBEA

No comments