Msanii maarufu wa maigizo kutoka nchini Nigeria Osita Iheme maarufu kama Paw Paw leo tarehe 21 mwezi wa pili anatimiza miaka 31 ya kuzaliwa kwake.
Osita ambaye alijipatia umaarufu katika filamu ya aki na ukwa akiwa na mwenzake Chinedu Ikedieze alizaliwa mwaka 1982 huko Mbaitoli nchini nigeria lakini pia alisoma katika chuo kikuu cha Enugu state kozi ya science &technology!
No comments:
Post a Comment