Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna leo tarehe 20 mwezi wa pili ya mwaka 2013 anatimiza miaka 25 yakuzaliwa.Rihana mzaliwa wa st. Michael Barbados ni mwanamuziki,actress and fashion designer amewahi kutamba na vibao kama ''we found love,man down,Diamond,teamo na where have you been''.
''HAPPY BIRTHDAY RIHANNA''
No comments:
Post a Comment