Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » Video Auditions Za CLOSER By Vanessa Mdee Kuanza Kufanyika Kesho...



Mchakato wa kuwatafuta warembo watakaoshiriki katika Video mpya ya Vanessa Mdee umeanza...
YEAH!!!    Auditions hizo zitaanza rasmi kesho [Tarehe 20 March] and this goes kwa wadada wote wazuri ambao wangependa kushiriki katika video mpya ya Vanessa "CLOSER" inayotarajiwa kuanza shooting hivi karibuni...
Auditions hizo zitakazofanyika katika eneo/ukumbi wa Azura Beach uliopo jijini Dar es salaam zitaanza saa 9 kamili...


Vanessa Mdee recently known as Vee Money amesema wasichana wote warembo wanakaribishwa kushiriki, wajue kucheza na pia wazingatie muda ambao umepangwa, yaani saa 9 alasiri... Muda ni wa kuzingatia zaidi ili watu wote watakaofika waweze kushiriki...

Auditions hizo za video ya CLOSER, ngoma kali na inayofanya vyema sana katika music industry ya Bongo, Afrika and beyond kwa sasa, zitamshirikisha Vee herself (as she'll be there) kupata wale wote wanaopenda kushiriki nae katika video yake hiyo.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply