Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » HUYU NDIYE MWANAFUNZI WA CHUO ALIYEUAWA KIKATILI HUKO ARUSHA

Marehemu Henry Enzi za uhai wake



Taarifa Kutoka Kwa Mwandishi Kuhusu Taarifa Zinazo Sambaa Kwenye Chuo Cha Uhasibu Arusha Inasema Kuna Kijana Anaitwa Henry Ni Mwanafunzi Wa BEF 2 Kwenye Chuo Cha Uhasibu Arusha Eneo La Njiro, Alikuwa Masomoni Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami, Kabla Hajafika Eneo La Malazi Yani Hostel Alipigiwa Simu Na Mwenzake Amsubiri Ili Waende Wote Hostel. Inasemekana Wakati Anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa
Mwanafunzi Huyo, Majibu Ya Wanafunzi Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio Walipochomoa Kisu Na Kumchoma Mmoja Ya Vijana Hao Tumboni Na Shingoni na Kupoteza Maisha Hapo Hapo, Rafiki Aliye Kuwa Nae Inasemekana Alichomwa Kisu Cha Tumboni Na Kuachwa Akishuhudia Mwenzake Akipoteza Maisha.


About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply