Pages

Pages - Menu

Tuesday, April 2, 2013

''MAZISHI YA MAMA MZAZI WA CYRILL KAMIKAZE KATIKA PICHA''

Cyrill Kamikaze akiwa na Kricha katikati na Abba Bang katika mazishi ya mama mzazi wa Kamikaze
Mchungaji akiendesha ibada fupi ya kumuombea marehemu kabla ya mazishi
Cyrill Kamikaze akiwa na wadogo zake Peter&Paul katika safari ya mwisho ya mama yao katika makaburi ya kinondoni
Kutoka kushoto Cyrill Kamikaze aliyefiwa na mama yake akiwa jamaa zake wa karibu Kricha kutoka kamikaze mission na kulia ni Gyan Bobic kutoka kundi la The switch
Mwili wa marehemu ukiwa tayari umeshushwa ndani ya kaburi
Vijana wakishusha mwili wa marehemu ndani ya kaburi

No comments:

Post a Comment