Ikiwa ni mwaka mmoja tuu tangu hit maker wa nyimbo ya Ten over Ten kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa siku nyingi Nicole Chikwe,hivi sasa tayari wamepata mtoto wakiume.Mwanamuziki huyo kutoka nchini nigeria alipost picha katika mtandao wa instagram ikimuonesha akiwa na mtoto wake huyo........!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment