Its a brand new video kutoka kwa Sean Kingston akiwa amemshirikisha Chris Brown pamoja na Wiz Khalifa na ngoma inaitwa "BEAT IT"...
Kama unakumbuka tulishawahi kuwaletea baadhi ya picha ambazo zilikuwa zikionyesha Behind The Scene ya video hii wakati ikiwa katika matengenezo ...
Check video yenyewe hapa chini :
NEW VIDEO : Sean Kingston ft. Chris Brown & Wiz Khalifa - BEAT IT ...

No comments