STEVE JOBS
Imeripotiwa kwamba mwanzilishi wa
Apple alitumia madawa kweny muhula wa kwanza kule Reed College in
Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu aach shule, Jobs amekuwa moja ya watu
wenye mafanikio zaidi nchini America na dunia nzima kwa ujumla. Mwaka
1984,medali ya Taifa ya Technology nchini Marekani kutoka kwa rais wa
kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune Magazine walimtaja kama
mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha mwaka 2011 gavana wa
California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye California Hall of
Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the decade) mwaka 2009
huku Forbeswakimuweka #57 kwenye list ya “World’s Most Powerful People”
mwaka huo huo.
Sir Richard Branson
Huku ile ‘Sir’ikimuweka kwenye list
ya watu wanaoheshimiwa zaidi, hiyo sio sababu ya yeye kuwa kwenye hii
list. Kinachomfanywa awekwe ni kwa sababu yeye anashika namba 236 kwenye
watu matajiri zaidi duniani, mwanzilishi wa Virgin empire, ambayo
inashughulika na vitu vingi kuanzia ndege mpaka maduka ya rekodi
tofauti, simu,na ametengeneza utajiri wake from scratch.Sio tu kwamba a,
he gets high with his 21-year-old son. alishasema mbele ya umati kwamba
haoni tatizo kuhusu kutumia marijuana,na amefanya mchakato kuhalalisha
utumiaji wake,na pia amesema kama ikiruhusiwa, atauza.
Michael Phelps
Jamaa ana medali nyingi za Olympics
kuliko mtu mwingine yoyote.. Tangu alipopata skendo ya kutumia madawa,
Phelps alishiriki interviews nyingi na kusema kuwa kilichotokea ni “bad
judgment,”na kuahidi kwamba kilichotokea hakitajirudia tena… hamna kitu
kama hicho.. Phelps . It might be his last, but it definitely wasn’t his
first. hii inamaanisha kwamba unaweza ukawa mwanamichezo namba 1
duniani lakini bado unavuta pia.
Stereotype shattered.
Francis Crick
Alishinda tuzo ya Nobel kwa kugundua
ul mpangilio wa “double-helix” kwenye DNA. Rumor has it that he was on
acid at the time. . Akiwa kama muanzilishi wa Soma, kikundi halali cha
cannabis, pia alifanyia uchunguzi marijuana, ambapo aliamini inasaidia
kufanya mtu atoe mawazo akilini mwake.
Barack Obama
Karibia kila raisi wa Marekani kabla
ya Barry , kuanzia Washington, Clinton mpaka Bush, historia yake
imehusisha uvutaji wa marijuana. Clintonalijaribu kwa makusudi lakini
akashindwa, Bush alikuwa super-mlevi,lakini alitumia madawa ya kulevya
na marijuana mara moja moja, Washington alikuwa na shamba kabisa ya
marijuana shambani kwake. But as far as we know, hakuna akiyewahi kukiri
kama Obama. Ameandika kuhusu historia yake na kuvuta marijuana/madawa
ikwenye kitabu chake Dreams of My Father, na mwaka 2007kwenye intrview
alisema “When I was a kid I inhaled frequently. That was the point.”
Yoyot yule anayejiuliza kuhusu mtumiaji wa Marijuana ana future gani,
amuangalie vizuri Barack Obama.Sio tu unaweza kuwa na akili, unaweza
kuwa hata rais.
Michael Bloomberg
Ameshawahi kutumia madawa alipokuwa mdogo?Kwa mdomo wake amekiri “You bet I did. And I enjoyed it!”
Ted Turner
Akiwa peke yake aliwezakuanzisha
CNN, na mwaka 1991 Gazeti la Times lilimtaja kama Man of Th
YearAnamiliki ardhi kubwa marekani na ana vituo vingine kadhaa nchini
humo.Alilima marijuana bwenini kwak college.
Richard Feynman
Huyu ni mwanafizikia aliyesaidia
kutengneza atomic bomb. Sikusema wote kwenye list hii wana busara.
Feynman alitumia madawa akiwa anafanya tafiti mbali mbali akiwa maabara.
Alipotoka,alishinda Nobel Prizekutokana na nadharia yake ya “quantum
electrodynamics.”
Sergey Brin
Ana Bachelor of Science kutoka
University of Maryland, Masters of Science kutoka Stanford na alichukua
kozi za PhD Stanford kabla ya kuelekeza nguvu zake kuanzisha Google
akiwa na Larry PageBaba yake ni profesa wa hesabu University of
Maryland. Mama yake ni mtafiti wa Sayansi kwenye ofisi za NASA zilizopo
Goddard Space Flight Center.Mke wake, Ann Wojcicki,ni biotech analyst
aliye-graduate na Bachelor of Science in biology kutoka Yale University
mwaka 1996. Kama Stve Jobs, ni mmoja wa watu matajiri zaidi duniani.
Arnold Schwarzenegger
Huyu ndio jamaa pekee kwenye hii
list ambaye ameonekana kwenye video akivuta madawa. Schwarzenegger
ameacha uvutaji tangu alipewa ofisi ya ugavana. According to Arnold,
marijuana “is not a drug, it’s a leaf.”
No comments