April 7, 2025 06:05:53 PM Select Menu

Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

170,912

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

    Technology

      Circle Gallery

      Shooting

        Racing

          News

            Lorem 4

              » »Unlabelled » MCHEKI HB WA LULU

              NYOTA wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, ameibua jipya ambapo kwa sasa habari ya mjini ni kwamba ana bwana mpya aliyetajwa kwa jina moja la Junior.
              Ishu hiyo ambayo ndiyo gumzo midomoni mwa watoto wa mjini ilianza kusambaa tangu Aprili 1, 2013 staa huyo alipoangusha pati ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ilichukua nafasi ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Serena katikati ya Jiji la  Dar es Salaam.
              Maneno ya mjini yanasema kuwa staa huyo amekuwa akiweka picha yake akiwa na Junior kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku wadau wakimpongeza kwa kumtambulisha mpenzi wake huyo.
              Mbali na picha ya Lulu akiwa na huyo Junior, ipo picha aliyopiga mama yake Lulu akiwa na kijana huyo katika pozi la kufanana na mwanaye
              hatukukuyaamini maneno ya wadau wala ya mjini, juzi lilimsaka nyota huyo na kumuuliza kuhusu madai hayo ya watu ambapo alikataa katakata kuwa na bwana mpya.
              Msikie mwenyewe: “Junior si mpenzi wangu, ni rafiki tu na ana mchumba’ake, sema watu wamekuwa wakinihusisha naye ili niongee wakati mimi sitaki kabisa kuongelea kitu chochote hasa visivyo na maana kama hicho.”

              About MAU2NDU DJ'S

              WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
              «
              Next
              List nzima ya washindi wa Billboard Music Awards 2013,
              »
              Previous
              Check Vituko vya Mtoto wa Amber Rose na Wiz Khalifa
              Pages 212 »

              No comments

              Leave a Reply