April 5, 2025 11:33:49 AM Select Menu

Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

170,912

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

    Technology

      Circle Gallery

      Shooting

        Racing

          News

            Lorem 4

              » »Unlabelled » MSANII ROSE NDAUKA AAMUA KUTAFUTA MAWAZO YA WATOTO WA MITAANI ILI KUBORESHA FILAMU ZAKE, HIKI NDO ALICHOKISEMA



              MSANII wa filamu nchini Tanzania Rose Ndauka azidi kujizolea umaarufu na kuongeza mashabiki wa aina zote kwa kuwa karibu na watoto wa mitaani hususani katika matembezi yake ya kila siku

              Msanii huyo ambaye anajitahidi kujitofautisha na baadhi ya wasanii wengine wa filamu nchini kwa kuwa karibu na jamii yake kwa vitendo hususani watoto hao wa mitaani

              Akizungumza jijini Dar es Salaam Ndauka alisema kuwa katika maisha yake hususani kwa kipindi hiki ambacho yeye ni supar staa anathamini watoto wa aina yote kwani hao ndio moja ya mashabiki wake

              Alisema kuwa anawathamini watoto hao hali inayomsababisha kutembea kwa miguu ili kila anapokutana nao apate nafasi ya kuzungumza nao na kubadilishana nao mawazo kwa kufanya hili anaamini kuwa anaongeza mashabiki wake na kuwafanya watoto hao kuwa karibu nao

              Ndauka ambaye anaamini watoto wa mitaani wanahitaji upendo wa kila mmoja anayemzunguka alisema kuwa ni jukumu lake na nafsi yake inamsukuma kufanya hivyo ili kuzidisha upendo na kuwafanya wahisi ni sehemu moja ya jamii

              Aliongezea kuwa kila anapokutana na watoto hao anahisi faraja moyoni mwake kwani hiyo ni sehemu ya kitu anachokipenda na nyakati za siku ya mapumziko hutumia muda wake mwingi kutembea kwa ajili ya kuwaona watoto na kupata mawazo yao ambayo anayatumia katika kuboresha filamu zake

              About MAU2NDU DJ'S

              WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
              «
              Next
              YALIYOMPATA RICK ROSS, SASA YAMPATA LIL WAYNE. MKATABA WAKE NA MOUNTAIN DEW WAPIGWA CHINI
              »
              Previous
              NAMSHANGAA DIAMOND MIMBA IPI KWANZA...HII NI KAULI YA VJ PENNY SOMA HAPA STORY NZIMA.
              Pages 212 »

              No comments

              Leave a Reply