Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii…so called Amber-Rose lakini si
tunamjua as Jacklyne Wolper, pande hizo anajiita Wolper Gambe. Jina
limetoka la Wolper Gambe limetoka wapi? Gambe maana yake si pombe kama
bia na vitu vingi vingine, hiyo ndiyo iliwappa watu kadhaa hamu ya kujua
kwanini anajiita hivyo baada ya kuona hadi ndinga yake kaitupia jina
hilo kwa upande wa nyuma. Wolper huyu hapa anafunguka kuhusu hilo jina,”Mwanzo
watu walibadirisha wimbo wa yule mkorea PSY..ukimsikiliza anavyoimba
inasikika Opa gangnam style, ikabadilishwa na kuwa Wolper gangnam style
kwasababu ina sound sawasawa. Lakini baadae wakabadilisha zaidi na
kuimba Wolper gambe style unajua jinsi neno gambe lilivyo maarufu na
raisi kulitumia hapo lina sound poa. Sasa wimbo ulivyoanza ku-kick zaidi
ndiyo na jina likawa kubwa zaidi,”
Kinyumbani nyumbani tushazoea kupeana majina kutokana na tabia au vitu
vyetu..mfano Hamisi chizi,Mwajuma ndalandefu…sasa unaonajeo kwa Wolper.
Unadhani mwanadada ni mtu wa mtungi a.k.a Gambe kwa sana ndiyo maana
hilo jina likaja. Zaidi huyu hapa Wolper Gambe mwenye akizungumzia jina
lake hilo na akiimba Gangnam Style ya jina lake
Random Posts
Powered by Blogger.
Contact us
www.mau2ndudj.blogsport.com
email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com
simu -
-0764277248
-0719184760
email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com
simu -
-0764277248
-0719184760
Special offer
Mau2ndu djz @Copyright 2012
Ads 468x60px
Social Icons
Featured Posts
Total Pageviews
Search This Blog
Blog Archive
MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO
Lorem 1
Technology
Circle Gallery
‹
›
Shooting
Racing
News
Lorem 4
Home
»
»Unlabelled
» UNAJUA KWANINI WOLPER ANATUMIA JINA LA “WOLPER GAMBE” SOMA HAPA
Tagged with:
About MAU2NDU DJ'S
WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments