April 5, 2025 02:50:46 PM Select Menu

Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

170,912

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

    Technology

      Circle Gallery

      Shooting

        Racing

          News

            Lorem 4

              » »Unlabelled » WADAU WAMPONDA RIHANNA KUMNG'ANG'ANIA CHRISS BROWN






               Baada ya Rihanna kufunguka kwa Oprah kuhusu penzi lisilokufa kwa Chris Brown – mpenzi wake aliyemdhalilisha kwa kumpiga na kumuumiza vibaya mwaka 2009, ufunuo huo uliwaacha mashabiki wake wengi na mshangao.

               Miongoni mwao ni mchekeshaji Joan Rivers, maarufu kwenye kipindi cha Fashion Police cha E! ambaye aliamua kumshambulia Rihanna kwenye Twitter.
               “Rihanna confessed to Oprah Winfrey that she still loves Chris Brown,” Rivers alitweet.”Idiot! Now it’s MY turn to slap her.” Rihanna hakukaa kimya na kuamua kumjibu ‘bibi’ huyo mwenye miaka 79.
               “@Joan_Rivers wow you really do get slow when you’re old huh?” aliandika Rihanna lakini baadaye aliifuta tweet hiyo. “Slap on some diapers,” aliongeza Rihanna lakini hii hakuifuta. “Honey, @Rihanna, everyone knows: If he hit you once, he’ll hit you again,” alitweet bibi huyo. “Read the statistics. PS – Love to have you on Fashion Police!”

              About MAU2NDU DJ'S

              WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
              «
              Next
              NEW TRACK: CYRIL FT CHEGE - SIKU HIZI HATULALI
              »
              Previous
              HII NOMA MILA ZINGINE: MTOTO AMRITHI MAMA YAKE MZAZI BAADA YA BABA YAKE KUFARIKI
              Pages 212 »

              No comments

              Leave a Reply