Hii ni matokeo ya kudumisha mila na desturi za kurithiana.
Mama Condorada Ngonyani mwenye umri wa miaka 70 anaishi kinyumba kama mke na mume na mwanaye wa tatu wa kumzaa mwenyewe akidai kuwa mara baada ya kufariki mume wake, Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake.
Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maendelo ya Jamii, Jinsia na wtoto kuangalia kati sheria inayomruhusu Mtoto na Mama Mzazi kuweza kuishi kindoa

Umati wa watu wapatao 400 ulifurika
kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo wilaya ya Namtumbo Mkoani
Ruvuma wakiiomba Serikali ichukue Mkondo wa Sheria dhidi ya condorada
ngonyani na joseph Mapunda.
Joseph
Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama
yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe
yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke.
Alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
Wana Ruvuma wanauliza tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila desturi na maadili ya mtanzania pia kukiuka sheria za dini
Joseph Mapunda ana sema upendo ni upendo amempenda mama na anaishi kindoa wamependana nyie watu mnataka nini kwetu ?
Mama Condorada Ngonyani anasema mara baada ya kufariki mume wake Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake

No comments