April 5, 2025 02:51:07 AM Select Menu

Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

170,912

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

    Technology

      Circle Gallery

      Shooting

        Racing

          News

            Lorem 4

              » »Unlabelled » SINTAH AONGELEA SABABU YA KUTUMIA JINA LA "JLO" KWENYE MOVIE YAKE MPYA


               WADAU wengi wa tasnia ya filamu bongo wameanza kuingiwa na shaka kubwa, baada ya msanii wa filamu Christine John ‘Sintah’, kutumia jina la msanii wa Marekani Jennifer Lopez aka JLO, kwenye filamu yake na kazi hiyo inakwenda kwa jina la ‘The Return Of JLO’
              .
                Mtandao huu ulifanya mazungumzo na wadau kadhaa wa tasnia hiyo na wote walionekana kuwa na mawazo tofauti kuwa wanshindwa kuelewa ni kitu gani kilimfanya hadi mwanadada huyo kutumia jina mtu bila idhini yake.
               Mau2ndu dj'z ilijitaidi kumtafuta ‘Sintah’, ili aweze kuwajibu wadau hao.katika kujibu kwake alidai kuwa ameamua kutumia jina hilo kwani huo ndiyo wakati wake yenye kwani anakuja kwa kishindo kikubwa katika tasnia cha filamu hivyo mashabiki wake waondoe shaka juu ya hilo.
               Hata hivyo aliongeza kuwa sababu kutumia jina hilo kingine ni kwamba anampenda sana mwanadada huyo na haoni kama inaweza kuleta matatizo ingawa ni kweli hakuzugumza naye juu ya hilo.
               “Ni kweli kwa msanii mwigine anaweza kunishtaki kwani nimetumia jina lake pasipo mwenyewe kujua, lakini nachowaomba watanzania wajue kila kitu kipo sawa na kazi yangu imetulia hivyo waitazame kwa umakini ili wajue kitu gani kinachozungumzwa,” alisema.

              About MAU2NDU DJ'S

              WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
              «
              Next
              HII NOMA MILA ZINGINE: MTOTO AMRITHI MAMA YAKE MZAZI BAADA YA BABA YAKE KUFARIKI
              »
              Previous
              ''USTADHI JUMA NA MUSOMA AMTISHIA MAISHA MENEJA MANENO''
              Pages 212 »

              No comments

              Leave a Reply